Burudani
Picha: French Montana na The Weeknd washoot video ya wimbo wao mpya
Rapper French Montana na The Weeknd wamekamilisha kutengeneza video ya wimbo wao mpya.
Imedaiwa kuwa mwanamitindo maarufu Blac Chyna ambaye ni mpenzi wa Rob Kardashian ndiye model katika video hiyo baada ya kuonekana katika picha kadhaa wakiwa wanashoot video hiyo.
Tazama picha zaidi hapa chini.