Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha: Green Carpet ya BET Hip Hop Awards 2017

Sio tu ushindi  wa  tuzo za muziki wa Hi Hop ila pia tunasherehekea ulimwengeu wa mitindo kupitia BET Hip Hop Awards 2017, zilizofanyika usiku wa jana nchini Marekani ambapo mwanadada Cardi B aliweza kungara kwa kusomba tuzo takribani  tano.

Shughuli hiyo iliudhuriwa na wadau mbalimbali wa muziki pamoja na mastaa  kama Black Chyna aliyetinga kwa kivazi chake matata bila kusahau Dj Khaled akiongozana na mwanaye Asahd.

Hawa ni baadhi ya mastaa waliobamba katika zuria la kijani la BET Hip Hop Awards 2017.

Cardi B
Dj Khaled na mtoto wake Asahd
Lil Yachty
Blac Chyna
T-Pain
Zonnique
ASAP Rocky
Keyshia

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW