Picha

Picha: Guess nani amemiss katika picha hii ya ‘The Kardashians’!

Hii ni familia ya Kardashian ambayo wamepiga picha hii kwaajili ya promo ya season 8 ya reality show ya wana familia hao “Keeping Up with The Kardashian’s”. Pichani yupo Kim Kardashian (wa katikati mstari wa kwanza) pamoja na dada zake ambao wamepewa company na wapenzi wao.

Keeping Up With The Kardashians Season 8 Pics!

Don’t you think Kanye West alitakiwa kuwepo pia katika picha hii kumpa company mama kijacho Kim K??.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents