Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha: Hali ya uwanja wa Amani kuelekea kilele cha mbio za Mwenge

Katika kuelekea katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na kuadhimisha miaka 18 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jumamosi hii, maandalizi ya sherehe hizo yamekamilika katika uwanja wa Amani uliopo kisiwani Zanzibar katika mkoa wa Mjini Magharibi.

Katika sherehe hizo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein. Hizi ni picha za uwanja wa Amani ulivyokuwa kwa sasa.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW