Burudani

Picha: Harmonize na mpenzi wake Sarah waenda vekesheni Serengeti, mapokezi yao ni moto

By  | 

Harmonize na mpenzi wake Sarah wameamua kwenda kupumzika kwa muda kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Wawili hao wamelazimika kusimamisha ratiba zao zote na kuamua kwenda kujionea maajabu kwenye mbuga hiyo maarufu duniani iliyopo wilayani Serengeti, mkoani Mara na wameonekana kupokelewa kwa shangwe kubwa.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments