Michezo

Picha: Hatimaye Alexis Sanchez amejiunga na Arsenal

Mshambuliaji Alexis Sanchez Nyota kutoka Chile mwenye miaka 25 amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 30 kutoka Barcelona kwenda Arsenal wanaamini atawasaidia ili kuweza kupata ubingwa wa Ligi Kuu ya England

Nyota huyo wa Chile ambaye amesain mkataba wa miaka minne huku kukiwa na kipengele cha kuongeza miezi 12 na mshahara utakuwa paundi laki moja na elfu 40 kwa wiki. Kiwango hicho kitamfanya alipwe sawa na Mjerumani, Mesut Ozil ambaye kwasasa ndiye mchezaji anayelipwa zaidi Emirates.

article-2687497-1F8D52F000000578-212_634x509
Maisha mapya: Alexis Sanchez akipozi katika picha akivalia jezi yake ya Asernal kama ishara ya kufungua ukurasa mpya wa maisha ya soka

article-2687497-1F8DF0E800000578-607_634x430-634x320

article-2687497-1F8DF1E800000578-750_634x446

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents