Diamond PlatnumzPicha

Picha: Hatimaye Huddah Manroe na Diamond Platnumz wakutana Nairobi

Kama unakumbuka The boss lady Huddah Manroe alipokuja Tanzania mara baada ya Kutoka katika Big Brother Africa ‘The Chase’ miezi miwili iliyopita, katika interview aliyofanyiwa na Bongo5 alimtaja Diamond kuwa ndio msanii wa Bongo anaye mfeel.

huddah
Daddy Owen, Huddah Manroe & Diamond Platnumz

Well, kwa wakati huo alikuwa bado hajakutana na Platnumz but finally Huddah na Diamond wamekutana Nairobi katika studio ya Ogopa, hivi Huddah anaimba eeh?? I am not sure! Ila picha aliyotweet Huddah jana inaonesha tayari wamekutana. Huyo wa kushoto katika picha ni msanii wa Kenya Daddy Owen.

“Diamond is a very hard working guy, his sexy appeal, he is good looking and he is a go-getter and he is scandalous, I like anyone who is scandalous that’s why I was drown to his music because I was like ‘wow’, this guy has almost the same sentiments with me, he is a bad boy I am a bad girl, Diamond Congratulations”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents