Michezo

Picha: Hawa ndio mapacha wa Cristiano Ronaldo

Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ameamua kuwaweka wazi watoto wake mapacha ambao amewapata hivi karibuni.

Ronaldo ameamua kuwaweka wazi mapacha wake hao mitandaoni baada ya hapo jana kuthibitisha kupata watoto hao wakati timu yake ya taifa ya Ureno ilipotolewa kwenye michuano ya kombe la mabara katika ngazi ya timu za taifa.

“So happy to be able to hold the two new loves of my life ?❤,” ameandika mchezaji huyo kwenye picha hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram.

Watoto hao wanaungana na kaka yao Cristiano Jr mwenye miaka saba. Wakati huo huo mpenzi wa Ronaldo, Georgina Rodriguez ambaye ni mwanamitindo anadaiwa kuwa na ujauzito wa miezi mitano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents