Michezo

Picha: Heineken Tanzania yawaburudisha wapenzi wa soka kwenye fainali za UEFA champions league

Heineken Tanzania iliwaburudisha wapenzi wa soka kwenye ya fainali ya UEFA champions league pale Golden Tulip hotel. Katika mechi hiyo timu ya Real Madrid ilishinda kwa magoli 4 -1 dhidi ya Atletico Madrid.

19
Meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe

16
Mashabiki wakishangilia goli

1
Rais wa TFF Jamal Malinzi, kushoto akiongea na meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe

4

2

9
Meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe akiongea na waandishi wa habari

7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents