Michezo

Picha: Hii ndio jezi mpya ya Manchester United msimu ujao

Manchester United watauanza msimu ujao wa mwaka 2016/2017 kwa jezi mpya. Uzi huo uliotengenezwa na kampuni ya Adidas ukiwa ni mkataba mpya na kampuni hiyo baada ya kampuni ya Nike kumaliza mkataba na klabu hiyo. Itazame jezi hiyo hapo chini na utoe maoni yako!

manchester-united

27600CF600000578-0-image-a-19_1428504889307

27600CFE00000578-0-image-m-31_1428505282255

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents