Burudani

Picha: Hivi ndivyo alivyokumbukwa Princess Diana

By  | 

Ni takribani miaka 20 tangu Princess Diana afariki dunia kwa ajali ya gari nchi Uingereza.

Princess Diana amekumbukwa  siku ya Jumatano  ya wiki hii katika mji wa Kensington Palace alipokuwa akiishi. Princess Diana alizaliwa  mwaka 1961 Julai mosi na alifariki 31 Agosti 1977 akiwa na miaka 36. Prince Charles ambaye ni mtoto wa Malikia Elizabeth II ndiyo alikuwa mume wa Diana na walifanikiwa kupata watoto wawili ambao ni Princes William na Harry.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments