Burudani

Picha: Hivi ndivyo alivyokutana navyo Rayvanny kwenye BET

Ikiwa yamesalia masaa kadhaa kuweza kufanyika kwa ugawaji wa tuzo kubwa duniani za BET, Rayvanny ambaye ndio msanii pekee anayewakilisha Tanzania kwenye tuzo hizo yupo nchini Marekani na tayari amefanikiwa kuanza kutumia kila fursa anayokutana nayo.

Ray ambaye anawania tuzo hizo katika kipengele cha International Viewer’s Choice Awards, amafanikiwa kuhudhuria katika moja ya show alizofanya rapper Dj Khaled pamoja na kufanyiwa mahojiano na na kituo cha runinga cha BET A-LIST.

Muimbaji huyo wa WCB pia amefanikiwa kufika katika Hoollywood All Of Fame. Msanii huyo anawania tuzo hiyo akiwa na wasanii wengine kama Dave (Uingereza), Amanda Black (Afrika Kusini), Changmo (Korea Kusini), Daniel Caesar, Remi na Skip Marley (Jamica).

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents