Burudani

Picha: Hivi ndivyo Korede Bello alivyotanua sikukuu ya Eid

Msanii kutoka lebo ya Mavin  nchni Nigeria  Korede Bello, ameonyesha  ametumia muda wake wa sikukuu ya Eid akitembelea mji wa Kano.

Korede ambaye anahit na ngoma yake ya ‘My People’ aliongozana na rafiki yake mtoto wa Emir Hrh Adam Ashraf Lamido Sanusi. Wawili hao ametumia muda huo wa mapumziko kwa kundeshapia  farasi ambaye kiutamaduni anafahamika kama ‘Babban Riga’ , sanjari na kisherekea sikuku ta Eid pia walitumia kufurahia tamasha la Hawan Fanisau.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents