Michezo

Picha: Hivi ndivyo Ronaldo alivyofanya birthday yake baada kutimiza miaka 33

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo hapo jana siku ya Jumatatu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kutimiza miaka 33.

Ronaldo ameposti picha zake katika mtandao wa kijamii wa Instagram akionekana kusherehekea siku hiyo huku akiwa na keki na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumtakia furaha ya kuzaliwa.

Keki hiyo ya Ronaldo imeonekana kuwa ya rangi ya bahari huku kukiwa na mnyama aina ya pweza kwa pembeni.

 

Siku ya Jumapili Ronaldo aliweka ‘profile’ picha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter inayomuonyesha akiwa na kikosi cha Super Bowl LII

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents