Habari

Picha: Hii ndio gari expensive zaidi China, inauzwa sh bilioni 1 na milioni 600 ($800,000)

Hongqi L5 limousine ndio inasemekana kuwa ‘China’s most expensive car’, ambayo gari ya kwanza ya toleo hilo imeuzwa kwa Yuan milioni 5 ambayo ni sawa na dola laki nane za Marekani sawa na shilingi bilioni moja na milioni mia tatu+ (1,300,600,000).

Hongqi-3
Boombering imeripoti kuwa mteja wa kwanza kununua gari hiyo huko Nanjing ni tajiri wa China atakayebidhiwa gari yake miezi mitatu ijayo.

Hongqi-1
Hongqi-10
Hongqi-4
Hongqi-6
Hongqi-13
Hongqi-5
Hongqi-2
Hongqi-15
Hongqi-8
Hongqi-12
Hongqi-7
Hongqi-9
Hongqi-14

Source: BBC

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents