Burudani

Picha: Huddah apokea mashambulizi kutoka kwa fans wake wa facebook baada ya kuweka picha ya bastola ‘yake’

Pamoja na kuwa star wa Kenya Huddah ana likes 27,476 mpaka sasa katika ukurasa wake wa facebook, lakini amekuwa akipata mishale mingi ya madongo kutoka kwa fans hao mara nyingi anapoweka picha ama status.

hudda

Star huyo aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika BBA ‘The Chase’ mwaka huu, jana ameamua kuzungumza kwa vitendo na ‘haters’ wake kwa kupost picha ya bastola iliyolazwa juu ya noti kadhaa ‘Riyals’ za Saudi Arabia na kuipa caption ‘Licensed’ (akimaanisha bastola imesajiliwa!).

huddah gun
“Licenced”

Kilichofuata ni comments za madongo kutoka kwa fans wa kike na wa kiume, wengine wakimtukana na wengine wakijaribu kumshauri lakini hakuna hata mmoja aliyejibiwa. Hali ya kushambuliwa na mashabiki wake wa facebook imekuwa ikitokea mara kwa mara kila anapoweka status inayoonekana kuwa dongo kwa haters wake.

Jionee mwenyewe baadhi ya comments hizo:

Sudi Freeman Salim: Good….now do the world a favour and shoot urself….u stupid whore

-Amos Ichenihi: Showing off a pistol!! That so dumb.. Blonde

-Shizzy Graca: Ooooh!! honey there are so many people who got this actully without a licence so …it doesnt ring a bell .

-Billy Ondari: Huddah I’m not saying this out of being a fan or hater BUT a friend.. U are NOT building a good image by updating vulgar language on your page, exposing nude pics of u which already I’ve seen enough might as well throw a fake dollar for what I haven’t seen, then now this? Uploading gun pics n loaded bundles of crap money for the whole world to see. U are being your own doom darl n to your fans n haters alike.. Fans will support u to mislead n haters will spit on u bcz their lives are full spite.

-Mandela Mubena: haha huddah acha upuzi…niko na DRAGUNOV Russian Sniper rifle na siringi

-Mariannah Loveheart: OMG!Hudda u are playing a dangerous game.these things are kept underground by any informed person.Kenya is a small country baby.lol

-Nasri Saed: So re u showing us u’ve a pistol crazy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents