Burudani

Picha: Huddah Monroe azidi kuwaumiza roho wabaya wake

Huddah Monroe amezidi kuwaumiza roho wabaya wake kwa kuwaonyesha kuwa mwaka huu pia bado ataendeleza kula bata na kujiachia sehemu mbalimbali za starehe duniani kama ilivyokuwa kawaida yake.

Mrembo huyo amepost picha kadhaa kwenye mtandao wake wa Instagram zinazomuonyesha akiwa ameuanza mwaka kwa style ya aina yake ya kujiachia kwenye boti binafsi na kuandika ujumbe uliowagusa wabaya wake.

“Be happy 2017. Just don’t mind them, live your life all the way up,” ameandika Huddah kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao huo. Tazama picha nyingine hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents