Burudani

Picha: Huu ndio muonekano mpya wa nywele za Chidinma kwenye kufunga mwaka

Music with a fashion. Msanii Chidinma Ekile maarufu kama Chidinma kutoka Nigeria ameamua kukaribia kuuaga mwaka 2017 kwa kuja na staili mpya ya nywele zake.

Staili hiyo ambayo hajawahi kuonekana nayo mwanzoni imeonekana kuwavutia mashabiki wengi kutokana na picha ambazo ameziweka katika mitandao ya kijamii. Je kwa upande wako muonekano huo mpya wa Chidinma umempendeza au hapana?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents