Habari

Picha: Huu ndio muonekano mpya wa Wizkid

Wizkid ameamua kubadilisha muenekano wake wa nywele. Msanii huyo wa Nigeria ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa baada ya kufanikiwa kutoboa Marekani na nchi nyingine za Ulaya, ameamua kuweka rangi (breach) kwenye nywele zake.

Huo ni monekano wa tofauti kwa mashabiki ambao hawajawahi kumuona muimbaji huyo akifanya hivyo. Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents