Burudani ya Michezo Live

Picha: Huyu ndiye Jokate ‘original’

Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ameachia picha mbili mtandaoni  na kudai huyu ndiye Jokate original.

Katika mtandao wa instagram alipoweka picha hizo, moja ameandika “The Original. The OG. #Kidoti, kisha nyingine, “African Barbie. African Queen”. Tazama picha hapa chini.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW