Burudani

Picha: Jackie Chandiru afunga ndoa kimya kimya!

Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3 la Uganda, Jackie Chandiru, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu mwenye asili ya Poland, Nal Van Vliet.

jj

Jackie alifunga ndoa na kufanya sherehe ya kimya kimya iliyofanyika nchini Uganda na kualika baadhi ya wana familia na marafiki wa karibu sana.

j

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents