PichaWema Sepetu

Picha: Jacky Wolper, Wema Sepetu na Lulu, nani ni Instagram Queen wa Bongo Movie?

Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba Instagram ndio mtandao wa kijamii kwa sasa ulio na akaunti nyingi za maceleb wa Tanzania hasa wa filamu ambao huwezi kuwaona Facebook ama Twitter.

page

Hii imetokana na ukweli kwamba wasanii wengi kwa sasa wana iphones, Sumsung ama simu zinazotumia mfumo wa Android na hivyo kuwa na access rahisi ya akaunti za Instagram.

Jacqueline Wolper (5890+), Wema Sepetu (14,130) na Elizabeth Michael aka Lulu (9,440+) ndio waigizaji wa filamu wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo. Hivyo, kwa kutazama picha hizi, nani ni malkia wa Instagram kati ya hawa?

Jacky Wolper

9c805232db2b11e2954322000ae80d8d_7

970d294cdc0711e28c7c22000a1fb876_7

aa40629cdd0411e2a47422000a9e28eb_7

b25c5774d9a311e2af7822000a1fb04e_7

Lulu

0a8b6c86d50411e2ae2422000ae904d4_7

1c1ab78ec2c311e2ba8122000a1f9262_7

a599b226d05b11e2a7ab22000a1f97eb_7

b4f3545cdbcd11e2992f22000a1fb823_7

Wema Sepetu

5ac96e98ccec11e281d822000a1f9682_7

46b68008da9311e2938922000ae8007c_7

431aa1e8c9e711e2820f22000a1fbcef_7

982c49d4d9f511e2a42922000a9e51c4_7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents