Burudani ya Michezo Live

Picha: Janet Jackson amuonesha mtoto wake Eissa Al Mana kwa mara ya kwanza

Janet Jackson amemuonesha mtoto wake Eissa Al Mana kwa mara ya kwanza.

Ikiwa ni miezi mitatu baada ya kumpata mtoto huyo wa kiume akiwa na mume wake waliyeachana, bilionea Wissam Al Mana, muimbaji huyo ametumia mitandao yake ya kijamii kuweka picha ya kwanza ya mtoto huyo.

“My baby and me after nap time,” ameandika Janet kwenye picha hiyo.

Janet na baba wa mtoto huyo, Al Mana wameachana baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW