Picha: Jinsi Mastaa Walivyotoa Burudani Kwenye Tamasha La Utalii Kenya

Speptemba 27 kuliwa na tamasha kubwa la kushangilia siku ya kitalii duniani nchini Kenya.
Gavana  Joho akiwasha moto jukwaani

Gavana Joho akiwasha moto jukwaani

Tamasha hili ambalo liliandaliwa na serekali ya kauti ya Mombasa, lilishuhudia mastaa kadhaa wakubwa wa Kenya wakitoa burudani lukuki. Gavana wa kaunti ya Mombasa maarufu kama gavana 001 ama Joho…alikuwepo na alifurahia jinsi halaiki ya mashabiki walivyo furika kushuhudia tukio hili la kihostoria. Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wakitoa burudani jukwaani.
Khaligraph Jones akiwa jukwaani

Khaligraph Jones akiwa Adasa akifanya ya kwakejukwaani

Ni rasmi sasa, nchini Kenya maaneo yote ya burudani yamefunguliwa. Ikiwemo shule, vyuo vikuu na maeneo ya burudani. Rai wa nchini Kenya wamefurahia huku ndege za kutoka mataifa ya ulaya kupewa ruhusa kuingia Kenya bila shida yeyote.
Susumila akiwapagawisha mashabiki

Dogo Richie akifanya yake

Imeandikwa na muandishi Changez Ndzai – Kenya

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW