Picha

Picha: Jinsi Serengeti Fiesta 2013 ilivyokuwa Singida jana usiku

Jana ilikuwa zamu ya wakazi wa Singida kupata mzuka wa Serengeti Fiesta 2013 kutoka kwa wasanii kibao. Show ilifanyika kwenye ukumbi wa Singida Motel kuanzia saa 2 usiku.

Shangwe hizo zilianza kwa burudani mbalimbali kutoka kwa Serengeti Super Nyota na baada ya hapo wakazi hao wa Singida walipata burudani kutoka kwa zaidi ya wasanii 20 hadi saa 9 usiku show ilipomalizika.

Abdul Kiba akifanya show serengeti fiesta 2013 Singida.
Abdul Kiba

Abdul Kiba akifanya show yaserengeti fiesta 2013 Singida.

Abdul Kiba

Amini akifanya show  serengeti fiesta 2013 Singida.
Amini akifanya yake jukwaani

B12 akiwana  Dj zero
B12 akiwana Dj Zero

Baba levo akifanya show katika katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Baba Levo akiwa jukwaani

Chege akifanya show katika katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Chege akitumbuiza

Godzilla akifanya show katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Godzilla jukwaani

Linah
Linah akiwaonesha wakazi wa Singida ‘asset’ aliyoipata kutoka kwa mama yake

Madee akiimba na mashabiki wimbo wa Pombe yangu katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Madee akiimba na mashabiki wimbo wa Sio Mimi aka Pombe Yangu

Madee
Madee

Makomando akicheza style yao mpya ya Kibaba baba katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Makomando wakicheza style yao mpya ya Kibaba baba

Makomando katika pozi ,kabla ya kufanya show ya serengeti fiesta 2013 Singida.
Makomando katika pozi kabla ya kupanda jukwaani

Mchmvu alipata nafasi ya kuimba na mashabiki katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Adam Mchomvu alipata nafasi ya kuimba pia na mashabiki

Nay Wa  Maitego akifanya show katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Nay Wa Maitego akiwapa mambo wapenzi wa burudani wa Singida

Nay wa Mitego akifanya show katika serengeti fiesta 2013 Singida.

Nay wa Mitego akisikilizia mashabiki katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki

Peter Msechu akifanya show katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Peter Msechu juu ya stage

Recho na Msami
Recho na Msami

Resho akicheza na Msami katika katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Recho akicheza na Msami

Stanima na Young Killer.
Stamina na Young Killer wakitumbuiza wimbo wao wa pamoja Jana na Leo

Stopper akifanya show katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Stopper

Temba akifanya show jana  katika serengeti fiesta 2013 Singida.
Temba akitumbuiza

Young killer akifanya show
Young Killer akiwasha moto

IMG_8597
Neyle

IMG_8634

IMG_8655

IMG_8661

IMG_8662

IMG_8666

IMG_8668

IMG_8669
Singida Motel palikuwa hapatoshi

IMG_8674

IMG_8677
Singida Motel palifunga haswaaa

IMG_8695

Shilole akiwa na hisia kali jukwaani, mhhh!

IMG_8697
Shilole stejini

IMG_8702

IMG_8704

IMG_8705

IMG_8707
Cassim Mganga

IMG_8709

IMG_8711

IMG_8712
Ommy Dimpoz aka Mzee wa Tupogo

IMG_8714

IMG_8720

IMG_8724
Ommy Dimpoz akiimba na shabiki

IMG_8742
Chege na Temba

IMG_8754
Juma Nature

IMG_8761

IMG_8765
Mabaga Fresh nao walipata shavu

IMG_8777
Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini

IMG_8787
Wakazi wa Singida wakifurahia show

IMG_8793

IMG_8798

IMG_8799

IMG_8812

IMG_8824

IMG_8825

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents