Burudani

Picha: Joh Makini atembelea ofisi za CMEA kuchukua ripoti ya kazi zake

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini Jumanne hii alitembelea kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) ili kujua jinsi kampuni hiyo inavyofanya kazi.
C.E.O wa CMEA Paul Matthysse na Joh Makini Alipotembelea ofisi za CMEA — at Copyrights Management EA.
C.E.O wa CMEA Paul Matthysse akiwa na Joh Makini katika ofisi za CMEA

Kupitia ukurasa wa instagram wa kampuni hiyo, wameweka picha inayomwonyesha Joh Makini akikabidhiwa repoti na kuandika

Operationa Manager wa CMEA Musa Abdallah akimkabidhi Joh Makini Ripoti Ya Nyimbo Zake alipotembelea Ofisi za Cmea — at Copyrights Management EA.

Operationa Manager wa CMEA Bw. Musa Abdallah akitoa maelezo kwa Msanii Joh Makini na Jay Moe Jinsi Cmea Inavofanya kazi — at Copyrights Management EA.
Operationa manager wa CMEA Bw. Musa Abdallah akitoa maelezo kwa Joh Makini na Jay Moe Jinsi CMEA inavofanya kazi

12801271_786987374778033_8420654404494594558_n
Joh Makini akikabidhiwa ripoti

10421303_786987338111370_839046234392296635_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents