Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: John Terry alivyotembelea mazoezi ya Chelsea na kukutana na Conte

Mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Terry, amewatembelea wachezaji wenzake wa timu hiyo kwnye mazoezi.

Terry ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Aston Villa, ametembelea mazoezi hayo na kukutana na kocha Antonio Conte pamoja na wachezaji wenzake wa zamani wa timu hiyo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW