Mrembo Jokate Mwegelo amefanya ziara katika baadhi ya shule zilizopo Songea, mkoani Ruvuma na kupata mapokezi ya nguvu kutoka kwa wanafunzi. Shule alizotembelea ni kama Songea Boys Secondary, Maposeni Secondary na Londoni Sekondari Lizaboni.
Hizi nia baadhi ya picha kutoka Songea.
By Peter Akaro