Picha
Picha: Jordin Sparks na Jason Derulo kwenye jarida la Glamour maalum kwa Valentine’s Day
Couple inayopendwa zaidi kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani, Jason Derulo na Jordin Sparks inatarajia kuonekana kwenye jarisa la Glamour la mwezi February special kwa siku ya wapendanao. Hizi ni miongoni mwa picha zitakazokuwa kwenye jarida hilo.