Habari

Picha: Jukwaa la kuwezesha Wanawake lawashukuru wadau muhimu kwenye harakati zao

Jukwaa la Kuwezesha Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Dar Es Salaam (JUWADA), kwa kushirikiana na mwanamitindo maarufu Bi.Khadija Mwanamboka kwa pamoja wametoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshirikiana nao kwa hali na mali kuhakikisha tunafanikisha tafrija yya “Tanzanite Women Forum & Lunch 2019”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents