Burudani

Picha: Justin Timberlake alivyowasha moto kwenye Super Bowl 52 Halftime Show

Alfajiri ya kuamkia leo, Justin Timberlake amtumbuiza katika mapumziko (half time) ya fainali ya Super Bowl 52 katika uwanja wa U.S. Bank Stadium, Minneapolis.

Timberlake alitumbuiza nyimbo takribani nane katika fainali hiyo ikiwemo “Cry Me A River,” “Suit & Tie,” “SexyBack,” “Senorita,” “Mirrors,” “My Love,” “Can’t Stop The Feeling” na “Filthy.” Hii ni mara ya kwanza kwa msanii huyo kutumbuiza kwenye fainali hizo.

Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents