Burudani
Picha: Kajala asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea watoto yatima
Muigizaji wa filamu nchini, Kajala Masanja, leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea watoto yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House jijini Dar es Salaam.
‘Today at Tanzania mitindo house celebrating my birthday with orphan cut my cake with them n give them some iteams as my gift to them, I promise to visit them again I love you may God bless them’
Kajala akiwa akimhoji mmoja wa watoto hao
Vitu vilivyotolewa na Kajala kwenye kituo hicho
Picha: Instagram