Burudani

Picha: Kampuni ya Kwetu Studio yatoa msaada kwa wanafunzi Dar

Baada ya kupata tunzo mbili katika tamasha la ZIFF lililofanyika mwezi Julai mwaka huu, lampuni ya utengenezaji wa video nchini Kwetu Studios wametoa mchango wa vifaa vya shule na michezo katika shule ya msingi Kombo iliyopo maeneo ya Vingunguti Viwanja Vingi ambapo filamu hiyo ilirekodiwa.

Wakati huo huo watayarishaji hao wamedai kuwa kwa sasa wanajiandaa kuachia filamu yao mpya ‘Genge’ ambayo inahusu kijana shupavu anayepambana na genge la uhalifu, anbapo ndani yake imeambatana na visa kibao. Filamu hiyo inatarajiwa kutoka Septemba 15 ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents