Burudani

Picha: Kanye West asheherekea birthday na maswahiba wake Jay Z, Beyonce na Nas huko New York

Wakati wasanii wa Tanzania walikua wameelekeza macho na masikio yao katika Tuzo za KTMA 2013 siku ya Jumamosi (June 8), rapper Kanye West alikuwa anasheherekea birthday yake kwa kufikisha miaka 36 huko New York.

Kanye bday

Maswahiba wake wa karibu Jay Z na mkewe Beyonce pamoja na rapper Nas walikuwa miongoni mwa watu waliompa support kwa kujumuika nae katika sherehe ya siku yake muhimu.

Kanye bday-3

kanye bday-4

kanye bday-2

kanye bday 6

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents