Picha

Picha: Karrueche Tran na mtindo wa nywele wa ‘twende kilioni’ (Cute)

Ni mtindo wa kusuka nywele kwa wasichana (hata baadhi ya wavulana) uliozoeleka sana huku kwetu kwa jina la ‘twende kilioni’, japo huko Marekani, Ulaya na kwingine huitwa ‘Cornrows’.

Karru

Karrueche Tran mpenzi wa On/Off wa mwimbaji wa R&B Chris Brown kupitia Instagram ame-share picha akiwa amesuka ‘twende kilioni’ na kusababisha uzuri wake wa asili (bila makeup nyingi) uonekane zaidi bila chenga.

Ila tuache utani, Karrueche Tran is very cute, Breezy hakukosea!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents