Burudani

Picha: Kendall Jenner alamba dume jarida la Harper’s Bazzar

Baada ya kuchekwa katika mitandao kuhusu sura na shingo yake, bado madili zinamuangukia Kendall Jenner kwa kupata shavu katika jarida la Harper’s Bazzar.


Jarida hili linalotarajiwa kutoka mwezi ujao litakuwa na kava ya mrembo huyo kutoka familia ya Kardashian, anayefanya modeling na kipindi Television.

Kendall amefanyiwa mahojiano hayo na rafiki yake aitwaye Cara Delevingne. “Sometimes I feel like a complete kid when I’m running around with my friends being stupid for a week, and then sometimes I just want to sit in my house and sip tea and watch old movies like I’m 60. I feel like the life I live is extraordinary in a lot of ways but that it also comes with a lot of responsibilities. I’ve had to grow up pretty fast and deal with situations most 22-year-olds aren’t really put into. There are days and weeks and months when you just don’t stop,” amesema mrembo huyo alipoulizwa kuwa anajionaje toka alipotimiza miaka 22.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents