Burudani

Picha: Kevin Hart na mkewe Eniko wajiandaa na ujio wa mtoto wao wa kwanza kwa baby shower

Siku zinayoyoma na hivi karibuni panapo majaliwa, Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, wawili hao wamefanya baby shower huko Calamigos Beach Club iliyopo Malibu, wakiwa na watoto wao wengine.

Mtoto huyo ametajwa kuwa ni wakiume na tayari wameshampatia jina la Kenzo. Kupitia mtandao wa Instagram, Eniko ameandika, “Showering baby Kenzo.?? Made from love ♥ #HARTS? P.S. Roxy & Riggs could never see this. ??.”

Wawili hao walifunga ndoa mwezi August mwaka jana mjini California, Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents