Michezo

Picha: Kikosi cha Barcelona kikiongozwa na Messi chatua Uingereza tayari kuikabili Chelsea

Kikosi cha klabu ya Barcelona kikiongozwa na Lionel Messi kimetua nchini Uingereza tayari kuuivaa timu ya Chelsea katika mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya hapo kesho siku ya Jumanne.

Barcelona itaingia katika mechi hiyo huku ikiwa na rekodi ya kutopoteza kwa zaidi ya michezo nane ya mashindano yote.

Picha za wachezaji wa Barcelona wakiwasili Uwanja wa ndege nchini Uingereza

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents