Burudani ya Michezo Live

Picha: Kikwete, Lowassa, Membe uso kwa uso katika mazishi ya bilionea

Hiyo jana katika mazishi ya bilionea, Maleu Mrema ambayo yalifanyika katika hoteli yake ya Ngurudoto jijini Arusha walikutana viongozi mbali akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Benard Membe.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW