Burudani

Picha: Kim Kardashian akava jarida la Allure

Kim Kardashian anatarajiwa kukava jarida jipya la Allure litakalo toka hivi karibuni, kupitia jarida hilo Kim ambaye ana watoto wawili na rapper Kanye West atazungumzia kuhusu bidhaa zake za urembo za KKW Beauty (Kim Kardashian West) pamoja na kuelezea kuhusu  tukio la kuvamiwa na majambazi lililofanyika katika hoteli moja ya kifahari mjini Paris nchini Ufaransa mwaka 2016 Oktoba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents