Burudani

Picha: Kinachoendelea katika msiba wa Dogo Mfaume muda huu

By  | 

Ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki wa aina ya Mchiriku, Dogo Mfaume, ambaye alifariki siku ya Jumatano katika hospitali ya Muhimbili wameweza kukusanyika kwa ajili ya kuchukua mwili wa marehemuna kuendelea na utaratibu wa kuzika.

Msanii huyo anatarajiwa kuzikwa katika eneo la Chanika kwa Mbiki majira ya saa saba za mchana Ijumaa ya leo. Hizi ni baadhi ya picha za watu waliohudhuria hospitalini kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho na safari ya kuelekea Chanika ambapo msiba huo utafanyika.

Kaa karibu nasi tuendelee kukupa yatakayojiri.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments