Picha

Picha: Kiri Records yapata vifaa vipya na producer mwingine ‘Rash Don’

Baada ya kufanyiwa marekebisho na kuwekewa vifaa vipya na vya kisasa, studio ya Kiri Records sasa itakuwa chini ya producer mwingine aitwaye Rash Don.

Rash Don ndo Producer mpya wa Kiri Records kwa sasa
Rash Don ndo producer mpya wa Kiri Records kwa sasa

Akiongea na Bongo5, Kiri ambaye ndo mmiliki wa Kiri Records amesema hadi sasa producer huyo ameshafanya kazi na wasanii mbalimbali wakiwemo Ney Lee, Dullayo, AT na Ally Nipishe.

IMG_0017

Kiri amesema studio hiyo imeongezewa vipya ambapo kwa sasa inapatikana maeneo ya Kinondoni Studio, barabara iendayo Sterio opposite na FJ Hotel zamani Livingstoneā€.

IMG_0001

Awali producer wa studio hiyo alikuwa ni C9 ambaye kwa sasa amefungua studio yake mwenyewe.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents