Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Kituo kipya cha radio cha burudani 93.7 chajiandaa kuingia kwenye ushindani wa radio za Dar

93.7 ni masafa ya kituo kipya cha radio cha jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuanza kurusha matangazo yake hivi karibuni. Kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya E-Masters (kampuni inayomiliki kumbi za Maisha Club), kipo maeneo ya Kawe Beach na tayari studio zake zimekamilika tayari kwa kuanza matangazo. Hizi ni picha za studio hiyo (Picha kutoka DJCHOKAMUSIC.COM)

20140311_164002

20140311_164051

DU7C7636

DU7C7642

E-FM-STUDIO-13

FRED-E-FM-RADIO-IN-DAR

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW