HabariPicha

Picha: Kuagwa kwa mwili wa Akwilina, msanii mmoja wa Bongo Flava ajitokeza, mabango yenye ujumbe mzito

Leo February 22, 2018 mwanafunzi Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi ndio mwili wake umeangwa katika viwanja vya Chuo cha NIT, Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye msiba huo.






Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents