Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Picha: Kuanzia Red Carpet hadi ndani Party ya Hamisa Mobetto ‘Prince Dee’

By  | 

October 13, 2017 Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Party hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam ilihudhuriwa na watu wenye mwaliko maalum pamoja na wasanii wa muziki wa Bongo Flava kama Ruby na Christian Bella pamoja na special appearance kutoka kwa video vixen Bongo, Gigy Money na Amber Lulu.

Hizi ni picha kuanzia Red Carpet hadi ndani ilipofanyika party hiyo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW