Mitindo

Picha: Kutana na mafuta ya kujipaka usoni ‘Crème de la Mer’ yanayouzwa kwa shilingi milioni 32 kwa mkebe

Ni Mafuta gani au cream ya kujipaka usoni iliyowahi kukugharimu zaidi? Kwa kawaida, mafuta ya kujipaka ambayo unaweza kusema umetumia hela nyingi kununua yanaweza kukugharimu kama shilingi laki mbili na nusu hivi.

most-expensive-face-cream

Lakini siku zote, vipo vitu vyenye gharama zaidi ambayo watu wenye pesa huweza kuvimudu sio? Well, katika msimu huu wa Christmas watengenezaji wa mafuta ya ‘Crème de la Mer’ watazindua tolea jipya ambapo kwa kopo moja utatakiwa kulipa $20,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 32.

Kinachofanya cream hii iuzwe kwa gharama hiyo kubwa ni kutokana packaging yake ambapo kopo lake litabuniwa na Boucheron, wa Ufaransa. Cream hiyo hutumiwa sana na mastaa kama Sienna Miller, Yasmin Le Bon, Kate Moss, Johnny Depp, Angelina Jolie ana Jennifer Lopez.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents