Burudani

Picha: kutana na mtoto wa EMTEE, LOGAN!

Mthembeni Ndevu anayejulikana zaidi jukwanikwa jina Emtee na mpenzi wake Nicole Chinsamy wamemkaribisha mtoto wao wa pili pamoja ulimwenguni.

Wapenzi hao kwa sasa wana watoto wawili pamoja ambapo mtoto wao wa kwanza kuzaliwa Avery alizaliwa miaka 3 iliyopita.

https://www.instagram.com/p/BenqaZ4BoyP/?taken-by=emteethehustla

Emtee aliposti picha za mtoto huyo ambaye ni mvulana kwenye akaunti yake ya Instagram jana usiku kuwajulisha mashabiki wake.

https://www.instagram.com/p/BentzrqhGMQ/?taken-by=emteethehustla

Baba huyo mwenye alibainisha kwamba mtoto huyo mpya kwenye familia anaitwa Logan.

https://www.instagram.com/p/BentEZqBWvc/?taken-by=emteethehustla

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents