Burudani

Picha: Lady Jaydee afanya ‘Audition’ ya kutafuta madansa

Leo (Jumanne) malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee, amefanya dancer’s audition kwa ajili ya kupata madansa ambao atakuwa anafanya nao kazi.

Zoaezi hilo limefanyika katika ukumbi wa Grow Dancer uliopo Masaki jijini Dar es Salaam. Majaji ambao walikuwa wakisimamiazoezi hilo ni jaydee mwenyewe, Lilian Internet (dansa wa zamani wa Twanga Pepeta) na Martin Kadinda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents