Habari

Picha: Ludacris na Adam Mchomvu wanavyoenjoy ‘vacation’ na wachumba wao

adam 1

Ludacris na mpenzi wake raia wa Gabon Eudoxie waliamua kwenda kufurahia mapumziko huko Hawaii kwa kufurahia maji ya bahari huku Adam Mchovu naye akiendelea kuutumia muda huu wa sikukuu kula bata na mpenzi wake Aysha. Wao waliamua kuenzi utamaduni kwa kunywa mbege!! Fun…

adam 2

luda 1

luda 2

luda 3

luda 4

luda 5

luda 6

luda 7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents