Michezo

Picha: Lukas Podolski atua Inter Milan baada ya kuondaka Arsenal

Mshambuliaji wa Ujerumani, Lukas Podolski ametua katika klabu ya Inter Milan ambayo kwa sasa ipo chini ya kocha Roberto Mancini.

2461A40D00000578-2894922-image-a-12_1420236311679

Nyota huyo ameondoka katika klabu ya Arsenal ametua kwenye klabu hiyo ya nchini Italia Jumamosi kwaajili ya kukamilisha usajili wake.

2464A85000000578-2896411-image-a-31_1420402980000
Lukas Podolski (kulia) akishkana mikono na Roberto Mancini baada ya kukamilisha mpango wa kuhamia Inter Milan wiki iliyopita

2464AEE000000578-0-The_German_international_arrives_at_Inter_s_training_ground_Appi-a-10_1420406798507

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents